Exodus 4:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawe utamwambia Farao kuwa Mwenyezi-Mungu asema hivi, ‘Israeli ni mzaliwa wangu wa kwanza wa kiume!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe umwambie Farao, Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawe utamwambia Farao kuwa Mwenyezi-Mungu asema hivi, ‘Israeli ni mzaliwa wangu wa kwanza wa kiume!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo BWANA: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mwambie Farao, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Israeli ni mwanangu mzaliwa wa kwanza,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe umwambie Farao, BWANA asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawe utamwambia Farao kuwa Mwenyezi-Mungu asema hivi, ‘Israeli ni mzaliwa wangu wa kwanza wa kiume!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo umwambie Farao: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Isiraeli ni mwanangu wa kuzaliwa wa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe umwambie Farao, BWANA asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nawe utamwambia mufalme wa Misri kwamba Yawe anasema hivi: ‘Israeli ni mwana wangu, muzaliwa wangu wa kwanza.