Exodus 4:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akiwa bado njiani kurudi Misri, Mose alikuwa mahali pa kulala wageni; basi, Mungu alikutana naye na kutaka kumuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa alipokuwa mahali pa kulala wageni akiwa njiani kurudi Misri, Mwenyezi Mungu akakutana naye, akataka kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ilikuwa walipokuwa njiani mahali pa kulala, Bwana akakutana naye akataka kumwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akiwa bado njiani kurudi Misri, Mose alikuwa mahali pa kulala wageni; basi, Mungu alikutana naye na kutaka kumuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose alipokuwa mahali pa kulala wageni akiwa njiani kurudi Misri, BWANA akakutana naye, akataka kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa alipokuwa mahali pa kulala wageni akiwa njiani kurudi Misri, bwana akakutana naye, akataka kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo walipokuwa njiani mahali pa kulala, BWANA akakutana naye, akataka kumwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akiwa bado njiani kurudi Misri, Mose alikuwa mahali pa kulala wageni; basi, Mungu alikutana naye na kutaka kumuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa njiani, walipokuwa kituoni, Bwana akamjia akitaka kumwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ilikuwa walipokuwa njiani mahali pa kulala, BWANA akakutana naye akataka kumwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akiwa bado katika njia kurudi Misri, Musa alikuwa pahali pa kulala pa wageni. Basi, Mungu akakutana naye na kutaka kumwua.