Exodus 4:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Mwenyezi-Mungu akamwacha Mose. Zipora alikuwa amesema, “Bwana harusi wa damu,” kwa sababu ya kutahiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Sipora alipomwita Musa, “Bwana arusi wa damu”, alikuwa anamaanisha ile tohara.) Baada ya hayo Mwenyezi Mungu akamwacha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akamwacha. Ndipo huyo mkewe akanena, U bwana arusi wa damu wewe, kwa ajili ya kutahiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamwacha Mose. Zipora alikuwa amesema, “Bwana harusi wa damu,” kwa sababu ya kutahiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sipora alipomwita Mose, “Bwana arusi wa damu,” alikuwa anamaanisha ile tohara. Baada ya hayo BWANA akamwacha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sipora alipomwita Musa, “Bwana arusi wa damu,” alikuwa anamaanisha ile tohara. Baada ya hayo bwana akamwacha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akamwacha. Ndipo huyo mkewe akanena, U bwana harusi wa damu wewe, kwa ajili ya kutahiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamwacha Mose. Zipora alikuwa amesema, “Bwana harusi wa damu,” kwa sababu ya kutahiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipomwacha; lakini hapo akamwita mchumba aliyekombolewa kwa damu kwa ajili ya kule kutahiri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akamwacha. Ndipo huyo mkewe akanena, U bwana arusi wa damu wewe, kwa ajili ya kutahiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo Yawe akamwacha Musa. Zipora alikuwa amesema: “Bwana-arusi wa damu”, kwa sababu ya kutahiri.