Exodus 4:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Mose akamwambia Aroni maneno yote aliyoambiwa na Mwenyezi-Mungu ayaseme, na miujiza yote aliyoagizwa atende.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akamwambia Haruni kila kitu Mwenyezi Mungu alichomtuma kusema, vilevile habari za ishara na maajabu alizokuwa amemwamuru kufanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akamwambia Haruni hayo maneno yote ya Bwana ambayo alimtuma aende nayo, na ishara hizo zote alizomwagiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Mose akamwambia Aroni maneno yote aliyoambiwa na Mwenyezi-Mungu ayaseme, na miujiza yote aliyoagizwa atende.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akamwambia Aroni kila kitu BWANA alichomtuma kusema, vile vile habari za ishara na maajabu alizokuwa amemwamuru kufanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akamwambia Haruni kila kitu bwana alichomtuma kusema, vilevile habari za ishara na maajabu alizokuwa amemwamuru kufanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akamwambia Haruni hayo maneno yote ya BWANA ambayo alimtuma aende nayo, na ishara hizo zote alizomwagiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Mose akamwambia Aroni maneno yote aliyoambiwa na Mwenyezi-Mungu ayaseme, na miujiza yote aliyoagizwa atende.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akamsimulia Haroni maneno yote ya Bwana, aliyomtuma, navyo vielekezo vyote, alivyomwagiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akamwambia Haruni hayo maneno yote ya BWANA ambayo alimtuma aende nayo, na ishara hizo zote alizomwagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Musa akamwambia Haruni maneno yote aliyoambiwa na Yawe ayaseme na vitambulisho vyote alivyoagizwa atende.