Exodus 4:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mose na Aroni wakaenda, wakawakusanya wazee wote wa Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa na Haruni wakawakusanya wazee wote wa Waisraeli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa na Haruni wakaenda, wakawakusanya wazee wote wa watu wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mose na Aroni wakaenda, wakawakusanya wazee wote wa Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose na Aroni wakawakusanya wazee wote wa Waisraeli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa na Haruni wakawakusanya wazee wote wa Waisraeli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa na Haruni wakaenda, wakawakusanya wazee wote wa watu wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mose na Aroni wakaenda, wakawakusanya wazee wote wa Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose na Haroni wakaenda, wakawakusanya wazee wote wa wana wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa na Haruni wakaenda, wakawakusanya wazee wote wa watu wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Musa na Haruni wakaenda, wakawakusanya wazee wote wa Waisraeli.