Exodus 4:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Itupe chini.” Mose akaitupa fimbo chini, nayo ikageuka kuwa nyoka! Mose akaikimbia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akasema, “Itupe chini.” Musa akaitupa fimbo chini, nayo ikawa nyoka, naye akaikimbia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Itupe chini; akaitupa chini, nayo ikawa nyoka; Musa akakimbia mbele yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Itupe chini.” Mose akaitupa fimbo chini, nayo ikageuka kuwa nyoka! Mose akaikimbia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akasema, “Itupe chini.” Mose akaitupa chini hiyo fimbo nayo ikawa nyoka, naye akaikimbia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akasema, “Itupe chini.” Musa akaitupa chini hiyo fimbo nayo ikawa nyoka, naye akaikimbia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Itupe chini; akaitupa chini, nayo ikawa nyoka; Musa akakimbia kutoka mbele yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Itupe chini.” Mose akaitupa fimbo chini, nayo ikageuka kuwa nyoka! Mose akaikimbia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Itupe chini! Akaitupa chini; ndipo, ilipogeuka kuwa nyoka, naye Mose akamkimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Itupe chini; akaitupa chini, nayo ikawa nyoka; Musa akakimbia mbele yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamwambia: “Uitupe chini.” Musa akatupa fimbo chini, nayo ikageuka kuwa nyoka. Musa akaikimbia.