Exodus 4:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aroni akawaambia maneno yote Mwenyezi-Mungu aliyokuwa amemwagiza Mose, na kuifanya ile miujiza mbele ya watu wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Haruni akawaambia kila kitu Mwenyezi Mungu alichokuwa amemwambia Musa. Pia akafanya ishara mbele ya watu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haruni akawaambia maneno yote Bwana aliyonena na Musa akazifanya zile ishara mbele ya watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aroni akawaambia maneno yote Mwenyezi-Mungu aliyokuwa amemwagiza Mose, na kuifanya ile miujiza mbele ya watu wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Aroni akawaambia kila kitu BWANA alichokuwa amemwambia Mose. Pia akafanya ishara mbele ya watu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Haruni akawaambia kila kitu bwana alichokuwa amemwambia Musa. Pia akafanya ishara mbele ya watu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haruni akawaambia maneno yote BWANA aliyonena na Musa akazifanya zile ishara mbele ya watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aroni akawaambia maneno yote Mwenyezi-Mungu aliyokuwa amemwagiza Mose, na kuifanya ile miujiza mbele ya watu wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Haroni akayasema maneno yote, Bwana aliyomwambia Mose, navyo vile vielekezo akavifanya machoni pa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haruni akawaambia maneno yote BWANA aliyonena na Musa akazifanya zile ishara mbele ya watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni akawaambia maneno yote Yawe aliyokuwa amemwagiza Musa na kufanya vile vitambulisho mbele ya watu wote.