Exodus 4:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akamwambia Mose, “Wasipokuamini au kusadiki ishara ya kwanza, yawezekana wakaamini ishara ya pili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia, “Kama hawatakuamini wewe, au kutojali ishara ya kwanza, wataamini ishara ya pili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi itakuwa, wasipokusadiki, wala kuisikiliza sauti ya ishara ya kwanza, wataisikiliza sauti ya ishara ya pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akamwambia Mose, “Wasipokuamini au kusadiki ishara ya kwanza, yawezekana wakaamini ishara ya pili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo BWANA akamwambia, “Kama hawatakuamini wewe, au kutojali ishara ya kwanza, wataamini ishara ya pili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo bwana akamwambia, “Kama hawatakuamini wewe, au kutojali ishara ya kwanza, wataamini ishara ya pili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi itakuwa, wasipokusadiki, wala kuisikiliza sauti ya ishara ya kwanza, wataisikiliza sauti ya ishara ya pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akamwambia Mose, “Wasipokuamini au kusadiki ishara ya kwanza, yawezekana wakaamini ishara ya pili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakapokuwa, wasikutegemee, wala wasiisikie sauti yako ukifanya kielekezo cha kwanza, wataitegemea sauti yako, utakapokifanya kielekezo cha pili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi itakuwa, wasipokusadiki, wala kuisikiliza sauti ya ishara ya kwanza, wataisikiliza sauti ya ishara ya pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akamwambia Musa: “Wasipokuamini au kusadiki kitambulisho cha kwanza, inawezekana wataamini kitambulisho cha pili.