Exodus 40:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu, utaiweka wakfu madhabahu ya kuteketezea sadaka na vyombo vyake vyote kwa kuipaka mafuta, nayo itakuwa takatifu kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha yapake mafuta hayo madhabahu ya kuteketezea sadaka pamoja na vifaa vyake vyote; weka wakfu madhabahu nayo yatakuwa takatifu sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utaitia mafuta madhabahu ya kuteketeza sadaka, na vyombo vyake vyote; na kuiweka takatifu madhabahu; na hiyo madhabahu itakuwa takatifu sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu, utaiweka wakfu madhabahu ya kuteketezea sadaka na vyombo vyake vyote kwa kuipaka mafuta, nayo itakuwa takatifu kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha ipake mafuta hiyo madhabahu ya kuteketezea sadaka pamoja na vifaa vyake vyote; weka wakfu madhabahu nayo itakuwa takatifu sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha yapake mafuta hayo madhabahu ya kuteketezea sadaka pamoja na vifaa vyake vyote; weka wakfu madhabahu nayo yatakuwa takatifu sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utaitia mafuta madhabahu ya kuteketeza sadaka, na vyombo vyake vyote; na kuiweka takatifu madhabahu; na hiyo madhabahu itakuwa takatifu sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu, utaiweka wakfu madhabahu ya kuteketezea sadaka na vyombo vyake vyote kwa kuipaka mafuta, nayo itakuwa takatifu kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha ipake mafuta meza ya kuteketezea ng'ombe za tambiko, uieue, hiyo meza ya kutambikia ipate kuwa takatifu yenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utaitia mafuta madhabahu ya kuteketeza sadaka, na vyombo vyake vyote; na kuiweka takatifu madhabahu; na hiyo madhabahu itakuwa takatifu sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, utatakasa mazabahu ya kuteketezea sadaka na vyombo vyake vyote kwa kuipakaa mafuta, nayo itakuwa takatifu kabisa.