Exodus 40:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Birika la kutawadhia na tako lake pia utaliweka wakfu kwa namna hiyohiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Paka sinia mafuta pamoja na kishikilio chake na uviweke wakfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utalitia mafuta birika na tako lake, na kuliweka liwe takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Birika la kutawadhia na tako lake pia utaliweka wakfu kwa namna hiyohiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Paka sinia mafuta pamoja na kishikilio chake na uviweke wakfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Paka sinia mafuta pamoja na kishikilio chake na uviweke wakfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utalitia mafuta birika na kitako chake, na kuliweka liwe takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Birika la kutawadhia na tako lake pia utaliweka wakfu kwa namna hiyohiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha birika lipake mafuta nalo wekeo lake, ulieue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utalitia mafuta birika na tako lake, na kuliweka liwe takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Birika la kunawia na tako lake vilevile utalitakasa kwa namna hiyohiyo.