Exodus 40:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose alitekeleza kikamilifu kabisa maagizo yote ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akafanya kila kitu sawa kama vile Mwenyezi Mungu alivyomwagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akafanya hayo yote; kama yote Bwana aliyoagiza ndivyo alivyofanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose alitekeleza kikamilifu kabisa maagizo yote ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akafanya kila kitu sawa kama vile BWANA alivyomwagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akafanya kila kitu sawa kama vile bwana alivyomwagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akafanya hayo yote; kama BWANA aliyoagiza ndivyo alivyofanya yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose alitekeleza kikamilifu kabisa maagizo yote ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akayafanya yote; kama Bwana alivyomwagiza, ndivyo, alivyoyafanya yote sawasawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akafanya hayo yote; kama yote BWANA aliyoagiza ndivyo alivyofanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa alitimiza kwa ukamilifu kabisa maagizo yote ya Yawe.