Exodus 40:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose aliweka vikalio vyake, akainua mbao zake, akashikamanisha pau zake na kusimamisha nguzo zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa alipoweka wakfu maskani ya Mungu, aliweka vitako mahali pake, akasimamisha mihimili, akatia mataruma na kusimamisha nguzo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akaisimamisha maskani, akayaweka matako yake, akazisimamisha mbao zake akayatia mataruma yake, akazisimamisha nguzo zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose aliweka vikalio vyake, akainua mbao zake, akashikamanisha pau zake na kusimamisha nguzo zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose aliposimika Maskani ya Mungu, aliweka vitako mahali pake, akasimamisha mihimili, akatia mataruma na kusimamisha nguzo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa alipoweka wakfu Maskani ya Mungu, aliweka vitako mahali pake, akasimamisha mihimili, akatia mataruma na kusimamisha nguzo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akaisimamisha maskani, akaviweka vitako vyake, akazisimamisha mbao zake akayatia mataruma yake, akazisimamisha nguzo zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose aliweka vikalio vyake, akainua mbao zake, akashikamanisha pau zake na kusimamisha nguzo zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose alipolisimamisha Kao akaiweka miguu yake, akatia humo mbao zake, akazitia misunguo yake na kuzisimamisha nguzo zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akaisimamisha maskani, akayaweka matako yake, akazisimamisha mbao zake akayatia mataruma yake, akazisimamisha nguzo zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akaweka vikalio vyake, akainua mbao zake, akashikamanisha miti yake na kusimamisha nguzo zake.