Exodus 40:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akalitandaza hema juu ya maskani ya Mungu na kuifunika hema, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaitanda hema juu ya maskani, akakitia kifuniko cha hema juu yake; kama Bwana alivyomwamuru Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akalitandaza hema juu ya Maskani ya Mungu na kuifunika hema, kama BWANA alivyomwagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akalitandaza hema juu ya Maskani ya Mungu na kuifunika hema, kama bwana alivyomwagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaitanda hema juu ya maskani, akakitia kifuniko cha hema juu yake; kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaweka juu ya Hema chandalua chake, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaitanda hema juu ya maskani, akakitia kifuniko cha hema juu yake; kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatandaza pazia juu ya hema takatifu na kuweka kifuniko cha hema juu yake, kama vile alivyoamuriwa na Yawe.