Exodus 40:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mnamo siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, utalisimika hema takatifu la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Simika maskani ya Mungu, lile Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza utaisimamisha hiyo maskani ya hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mnamo siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, utalisimika hema takatifu la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Simika Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Simika Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza utaisimamisha hiyo maskani ya hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mnamo siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, utalisimika hema takatifu la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza ulisimamishe Kao la Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza utaisimamisha hiyo maskani ya hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza, utasimika hema takatifu la mukutano.