Exodus 40:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliweka meza ndani ya hema la mkutano, upande wa kaskazini, sehemu ya nje ya pazia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akaweka meza ndani ya Hema la Kukutania, upande wa kaskazini mwa maskani ya Mungu nje ya pazia
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaitia meza ndani ya hema ya kukutania, upande wa maskani ulioelekea kaskazini, nje ya pazia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliweka meza ndani ya hema la mkutano, upande wa kaskazini, sehemu ya nje ya pazia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akaweka meza ndani ya Hema la Kukutania, upande wa kaskazini ya Maskani ya Mungu nje ya pazia
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akaweka meza ndani ya Hema la Kukutania, upande wa kaskazini ya Maskani ya Mungu nje ya pazia
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaitia meza ndani ya hema ya kukutania, upande wa maskani ulioelekea kaskazini, nje ya pazia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliweka meza ndani ya hema la mkutano, upande wa kaskazini, sehemu ya nje ya pazia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akapeleka meza ndani ya Hema la Mkutano, akaiweka upande wa kaskazini wa Kao nje ya pazia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaitia meza ndani ya hema ya kukutania, upande wa maskani ulioelekea kaskazini, nje ya pazia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaweka meza ndani ya hema la mukutano, upande wa kaskazini, sehemu ya inje ya pazia,