Exodus 40:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na juu yake akaipanga mikate iliyotolewa kwa Mwenyezi-Mungu, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kupanga mikate juu yake mbele za Mwenyezi Mungu, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaipanga ile mikate juu yake mbele za Bwana; kama Bwana alivyomwamuru Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na juu yake akaipanga mikate iliyotolewa kwa Mwenyezi-Mungu, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kupanga mikate juu yake mbele za BWANA, kama BWANA alivyomwagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kupanga mikate juu yake mbele za bwana, kama bwana alivyomwagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaipanga ile mikate juu yake mbele za BWANA; kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na juu yake akaipanga mikate iliyotolewa kwa Mwenyezi-Mungu, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha akamwekea Bwana juu yake mikate na kuitandika mistari mistari, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaipanga ile mikate juu yake mbele za BWANA; kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na juu yake akapanga mikate iliyotolewa kwa Yawe, kama vile alivyoamuriwa na Yawe.