Exodus 40:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikiweka kinara ndani ya hema la mkutano, upande wa kusini, mkabala wa meza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa maskani ya Mungu
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akakitia kinara cha taa ndani ya hema ya kukutania, kuikabili ile meza, upande wa maskani ulioelekea kusini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikiweka kinara ndani ya hema la mkutano, upande wa kusini, mkabala wa meza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akakitia kinara cha taa ndani ya hema ya kukutania, kuikabili ile meza, upande wa maskani ulioelekea kusini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikiweka kinara ndani ya hema la mkutano, upande wa kusini, mkabala wa meza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akakiweka kinara Hemani mwa Mkutano upande wa kusini wa Kao, kuielekea meza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akakitia kinara cha taa ndani ya hema ya kukutania, kuikabili ile meza, upande wa maskani ulioelekea kusini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaweka kinara ndani ya hema la mukutano, upande wa kusini, kuelekea meza.