Exodus 40:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo, mbele ya Mwenyezi-Mungu, akaziwasha taa zake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kuziweka taa mbele za Mwenyezi Mungu, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaziwasha taa zake mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwamuru Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humo, mbele ya Mwenyezi-Mungu, akaziwasha taa zake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kuziweka taa mbele za BWANA, kama BWANA alivyomwagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kuziweka taa mbele za bwana, kama bwana alivyomwagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaziwasha taa zake mbele za BWANA, kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo, mbele ya Mwenyezi-Mungu, akaziwasha taa zake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaziweka taa zake juu yake mbele ya Bwana, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaziwasha taa zake mbele za BWANA, kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mule, mbele ya Yawe, akawasha taa zake, kama vile alivyoamuriwa na Yawe.