Exodus 40:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliiweka ile madhabahu ya dhahabu katika hema, mbele ya pazia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaitia madhabahu ya dhahabu ndani ya hema ya kukutania mbele ya pazia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliiweka ile madhabahu ya dhahabu katika hema, mbele ya pazia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaitia madhabahu ya dhahabu ndani ya hema ya kukutania mbele ya pazia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliiweka ile madhabahu ya dhahabu katika hema, mbele ya pazia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaiweka meza ya dhahabu ya kuvukizia katika Hema la Mkutano mbele ya pazia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaitia madhabahu ya dhahabu ndani ya hema ya kukutania mbele ya pazia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaweka ile mazabahu ya zahabu katika hema, mbele ya pazia,