Exodus 40:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na akafukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafukiza juu yake uvumba wa manukato kama Bwana alivyomwamuru Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama BWANA alivyomwagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama bwana alivyomwagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafukiza juu yake uvumba wa manukato kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akavukizia juu yake mavukizo yanukayo vizuri, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafukiza juu yake uvumba wa manukato kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kufukiza ubani wenye harufu nzuri juu yake, kama vile alivyoamuriwa na Yawe.