Exodus 40:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akaweka hapo langoni mwa hema takatifu madhabahu ya sadaka za kuteketezwa, akatolea juu yake sadaka ya kuteketezwa na sadaka ya nafaka, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaiweka madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa mlangoni pa maskani ya kukutania, akatoa sadaka ya kuteketezwa juu yake, na sadaka ya unga; kama Bwana alivyomwamuru Musa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akaweka hapo langoni mwa hema takatifu madhabahu ya sadaka za kuteketezwa, akatolea juu yake sadaka ya kuteketezwa na sadaka ya nafaka, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama BWANA alivyomwagiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akaweka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa karibu na ingilio la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania, na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za nafaka kama bwana alivyomwagiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaiweka madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa mlangoni pa maskani ya kukutania, akatoa sadaka ya kuteketezwa juu yake, na sadaka ya unga; kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akaweka hapo langoni mwa hema takatifu madhabahu ya sadaka za kuteketezwa, akatolea juu yake sadaka ya kuteketezwa na sadaka ya nafaka, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaiweka meza ya kuteketezea ng'ombe za tambiko penye kuliingilia Kao la Hema la Mkutano, akatoa juu yake ng'ombe ya tambiko ya kuteketezwa nzima pamoja na vilaji vya tambiko, kama Bwana alivyomwagiza Mose.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaiweka madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa mlangoni pa maskani ya kukutania, akatoa sadaka ya kuteketezwa juu yake, na sadaka ya unga; kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akaweka pale kwenye mulango wa hema takatifu mazabahu ya sadaka za kuteketezwa, akatolea juu yake sadaka ya kuteketezwa kwa moto na sadaka ya ngano, kama vile alivyoamuriwa na Yawe.