Exodus 40:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndani ya hema hilo utaweka lile sanduku la ushuhuda, kisha weka pazia mbele yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utatia ndani yake sanduku la ushuhuda, nawe utalisitiri hilo sanduku kwa pazia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndani ya hema hilo utaweka lile sanduku la ushuhuda, kisha weka pazia mbele yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Weka Sanduku la Ushuhuda ndani yake na ulifunike kwa pazia. Ingiza meza na kupanga vitu vyake juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utatia ndani yake sanduku la ushuhuda, nawe utalisitiri hilo sanduku kwa pazia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndani ya hema hilo utaweka lile sanduku la ushuhuda, kisha weka pazia mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humo ndani uliweke Sanduku la Ushahidi, kisha ulitungike pazia mbele ya Sanduku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utatia ndani yake sanduku la ushuhuda, nawe utalisitiri hilo sanduku kwa pazia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndani ya hema hilo utaweka lile Sanduku la Agano, kisha weka pazia mbele yake.