Exodus 40:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliliweka birika la kutawadhia katikati ya hema la mkutano na madhabahu, na kutia maji ya kutawadha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaliweka birika kati ya hema ya kukutania na madhabahu, akatia maji ndani yake ya kuoshea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliliweka birika la kutawadhia katikati ya hema la mkutano na madhabahu, na kutia maji ya kutawadha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaweka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, akaweka maji ndani yake kwa ajili ya kunawia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaliweka birika kati ya hema ya kukutania na madhabahu, akatia maji ndani yake ya kuoshea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliliweka birika la kutawadhia katikati ya hema la mkutano na madhabahu, na kutia maji ya kutawadha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaliweka birika katikati ya Hema la Mkutano na meza ya kutambikia na kutia humo maji ya kujioshea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaliweka birika kati ya hema ya kukutania na madhabahu, akatia maji ndani yake ya kuoshea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaweka birika la kunawia katikati ya hema la mukutano na mazabahu, na kutia maji ya kunawa.