Exodus 40:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, lile wingu likalifunika lile hema la mkutano, na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukalijaza hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wingu likafunika Hema la Kukutania, na utukufu wa Mwenyezi Mungu ukaijaza maskani ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa Bwana ukaijaza maskani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, lile wingu likalifunika lile hema la mkutano, na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukalijaza hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wingu likafunika Hema la Kukutania, na utukufu wa BWANA ukaijaza Maskani ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wingu likafunika Hema la Kukutania, na utukufu wa bwana ukaijaza Maskani ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, lile wingu likalifunika lile hema la mkutano, na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukalijaza hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha lile wingu likalifunika Hema la Mkutano, nao utukufu wa Bwana ukajaa Kaoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, lile wingu likafunika lile hema la mukutano na utukufu wa Yawe ukajaza hema.