Exodus 40:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alishindwa kuingia ndani ya hema la mkutano kwa sababu hilo wingu lilikaa juu yake, na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukajaa humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa hakuweza kuingia ndani ya Hema la Kukutania kwa sababu wingu lilikuwa limetua juu ya Hema, nao utukufu wa Mwenyezi Mungu ukaijaza maskani ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala Musa hakuweza kuliingia hema la kukutania, kwa sababu lile wingu lilikaa juu yake, na huo utukufu wa Bwana ukaijaza maskani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alishindwa kuingia ndani ya hema la mkutano kwa sababu hilo wingu lilikaa juu yake, na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukajaa humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose hakuweza kuingia ndani ya Hema la Kukutania kwa sababu wingu lilikuwa limetua juu ya Hema, nao utukufu wa BWANA ukaijaza Maskani ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa hakuweza kuingia ndani ya Hema la Kukutania kwa sababu wingu lilikuwa limetua juu ya Hema, nao utukufu wa bwana ukaijaza Maskani ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala Musa hakuweza kuliingia hema la kukutania, kwa sababu lile wingu lilikaa juu yake, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alishindwa kuingia ndani ya hema la mkutano kwa sababu hilo wingu lilikaa juu yake, na utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukajaa humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mose hakuweza kuliingia Hema la Mkutano, kwa kuwa wingu lililikalia, nao utukufu wa Bwana ulijaa Hemani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala Musa hakuweza kuliingia hema la kukutania, kwa sababu lile wingu lilikaa juu yake, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akashindwa kuingia ndani ya hema la mukutano kwa sababu hilo wingu lilikaa juu yake na utukufu wa Yawe ukajaa mule.