Exodus 40:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Katika safari zao zote Waisraeli hawakuanza safari kamwe isipokuwa wakati wingu hilo lilipoinuliwa kutoka juu ya hema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika safari yote ya Waisraeli, kila wakati wingu lilipoinuka kutoka juu ya maskani ya Mungu, wangeondoka;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hapo lile wingu lilipoinuliwa kutoka juu ya maskani, wana wa Israeli wakaenda mbele katika safari zao zote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Katika safari zao zote Waisraeli hawakuanza safari kamwe isipokuwa wakati wingu hilo lilipoinuliwa kutoka juu ya hema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika safari yote ya Waisraeli, kila wakati wingu lilipoinuka kutoka juu ya Maskani ya Mungu, wangeondoka;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika safari yote ya Waisraeli, kila wakati wingu lilipoinuka kutoka juu ya Maskani ya Mungu, wangeondoka;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hapo lile wingu lilipoinuliwa kutoka juu ya maskani, wana wa Israeli wakaenda mbele katika safari zao zote,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Katika safari zao zote Waisraeli hawakuanza safari kamwe isipokuwa wakati wingu hilo lilipoinuliwa kutoka juu ya hema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hilo wingu lilipoondoka penye Kao, ndipo, wana wa Isiraeli walipoondoka kwenda safari yao; ndivyo, vilivyokuwa katika hizo safari zao zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hapo lile wingu lilipoinuliwa kutoka juu ya maskani, wana wa Israeli wakaenda mbele katika safari zao zote,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika safari zao zote Waisraeli hawakuanza safari hata kidogo isipokuwa wakati wingu hilo lilipoinuliwa kutoka juu ya hema.