Exodus 40:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari; walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
lakini kama wingu halikuinuka, hawakuondoka, hadi siku lilipoinuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hata siku ile lilipoinuliwa tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari; walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini kama wingu halikuinuka, hawakuondoka, mpaka siku lilipoinuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini kama wingu halikuinuka, hawakuondoka, mpaka siku lilipoinuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hadi siku ile lilipoinuliwa tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari; walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wingu lisipoondoka, hawakuondoka nao kwenda safari mpaka siku hiyo, lilipoondoka tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali kama lile wingu halikuinuliwa, wakati ule hawakusafiri hata siku ile lilipoinuliwa tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama wingu hilo halikuinuliwa wao hawakuanza safari. Walingoja mpaka wakati lilipoinuliwa.