Exodus 40:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaiingiza meza na kupanga vyombo vyake juu. Utaingiza kile kinara pia na kuziweka taa zake juu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utaleta meza na kuitia ndani, na kuviweka sawasawa vile vitu juu yake; kisha utakileta ndani kile kinara cha taa, na kuziwasha taa zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaiingiza meza na kupanga vyombo vyake juu. Utaingiza kile kinara pia na kuziweka taa zake juu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha ingiza kinara cha taa na uweke taa zake juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utaleta meza na kuitia ndani, na kuviweka sawasawa vile vitu juu yake; kisha utakileta ndani kile kinara cha taa, na kuziwasha taa zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaiingiza meza na kupanga vyombo vyake juu. Utaingiza kile kinara pia na kuziweka taa zake juu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha iingize meza na kuyatandika juu yake yanayopasa kuwekwa hapo, kisha kiingize kinara na kuziweka taa zake juu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utaleta meza na kuitia ndani, na kuviweka sawasawa vile vitu juu yake; kisha utakileta ndani kile kinara cha taa, na kuziwasha taa zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utaingiza meza na kupanga vyombo vyake juu. Utaingiza kile kinara vilevile na kuweka taa zake juu yake.