Exodus 40:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ile madhabahu ya kuteketezea sadaka utaiweka mbele ya mlango wa hema takatifu la mkutano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha utaweka madhabahu ya kuteketeza sadaka mbele ya mlango wa maskani ya hema ya kukutania.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ile madhabahu ya kuteketezea sadaka utaiweka mbele ya mlango wa hema takatifu la mkutano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha utaweka madhabahu ya kuteketeza sadaka mbele ya mlango wa maskani ya hema ya kukutania.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ile madhabahu ya kuteketezea sadaka utaiweka mbele ya mlango wa hema takatifu la mkutano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha iweke meza ya kuteketezea ng'ombe za tambiko mbele ya hapo pa kuliingilia Kao la Hema la Mkutano.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha utaweka madhabahu ya kuteketeza sadaka mbele ya mlango wa maskani ya hema ya kukutania.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ile mazabahu ya kuteketezea sadaka utaiweka mbele ya mulango wa hema takatifu la mukutano.