Exodus 5:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wanyapara na wasimamizi wa watu wakatoka na kuwaambia watu, “Farao anasema hivi, ‘Sitawapeni nyasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi viongozi wa watumwa na wasimamizi wakaenda kuwaambia watu, “Hivi ndivyo Farao asemavyo: ‘Sitawapa nyasi tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao wasimamizi wa watu na wanyapara wao wakatoka, wakasema na watu, wakanena, Farao asema hivi, Mimi siwapi majani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wanyapara na wasimamizi wa watu wakatoka na kuwaambia watu, “Farao anasema hivi, ‘Sitawapeni nyasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi viongozi wa watumwa na wasimamizi wakaenda kuwaambia watu, “Hivi ndivyo Farao asemavyo: ‘Sitawapa tena nyasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi viongozi wa watumwa na wasimamizi wakaenda kuwaambia watu, “Hivi ndivyo Farao asemavyo: ‘Sitawapa tena nyasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao wasimamizi wa watu na wanyapara wao wakatoka, wakasema na watu, wakanena, Farao asema hivi, Mimi siwapi majani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wanyapara na wasimamizi wa watu wakatoka na kuwaambia watu, “Farao anasema hivi, ‘Sitawapeni nyasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wasimamizi wale wakali wa watu hao na waangaliaji wao walipowaambia watu kwamba: Hakuna tena atakayewapa ninyi majani makavu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao wasimamizi wa watu na wanyapara wao wakatoka, wakasema na watu, wakanena, Farao asema hivi, Mimi siwapi majani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakubwa na wasimamizi wa watu wakatoka na kuwaambia watu: “Mufalme wa Misri anasema hivi: ‘Sitawapa nyasi.