Exodus 5:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nendeni nyinyi wenyewe mkatafute popote mtakapoweza kuzipata, na wala kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nendeni mkatafute nyasi wenyewe popote mnapoweza kuzipata, lakini kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enendeni wenyewe, jipatieni majani hapo mtakapoyaona; kwa maana kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nendeni nyinyi wenyewe mkatafute popote mtakapoweza kuzipata, na wala kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nendeni mkatafute nyasi wenyewe po pote mnapoweza kuzipata, lakini kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nendeni mkatafute nyasi wenyewe popote mnapoweza kuzipata, lakini kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nendeni wenyewe, jipatieni majani hapo mtakapoyaona; kwa maana kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nendeni nyinyi wenyewe mkatafute popote mtakapoweza kuzipata, na wala kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nendeni wenyewe kujiokotea majani makavu po pote, mtakapoyaona! Lakini agano la kazi zenu halipunguki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enendeni wenyewe, jipatieni majani hapo mtakapoyaona; kwa maana kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muende ninyi wenyewe mutafute popote mutakapoweza kuzipata, na wala kazi yenu haitapunguzwa hata kidogo.’ ”