Exodus 5:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao Wanyapara wakakazana wakisema, “Timizeni kazi yenu ya kila siku kama hapo awali mlipoletewa nyasi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Viongozi wa watumwa wakasisitiza wakisema, “Timizeni kazi mnayotakiwa kwa kila siku, kama wakati ule mlipokuwa mkipewa nyasi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasimamizi wao wakawahimiza, wakisema, Timizeni kazi zenu, shughuli zenu za kila siku, kama wakati ule majani yalipokuwapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao Wanyapara wakakazana wakisema, “Timizeni kazi yenu ya kila siku kama hapo awali mlipoletewa nyasi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wa watumwa wakasisitiza, wakisema, “Timizeni kazi mnayotakiwa kwa kila siku, kama wakati ule mlipokuwa mkipewa nyasi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wa watumwa wakasisitiza, wakisema, “Timizeni kazi mnayotakiwa kwa kila siku, kama wakati ule mlipokuwa mkipewa nyasi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasimamizi wao wakawahimiza, wakisema, Timizeni kazi zenu, shughuli zenu za kila siku, kama wakati ule majani yalipokuwapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao Wanyapara wakakazana wakisema, “Timizeni kazi yenu ya kila siku kama hapo awali mlipoletewa nyasi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wasimamizi wakawahimiza kwa ukali wao kwamba: Zimalizeni kazi zenu za kuitimiza hesabu yao ya siku zote kama hapo, mlipopewa majani makavu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasimamizi wao wakawahimiza, wakisema, Timizeni kazi zenu, shughuli zenu za kila siku, kama wakati ule majani yalipokuwapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakubwa wakakazana wakisema: “Mutimize kazi yenu ya kila siku kama mbele mulipoletewa nyasi.”