Exodus 5:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo wasimamizi wa Waisraeli walipomwendea Farao, wakamlilia wakisema, “Kwa nini unatutenda hivi sisi watumishi wako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wasimamizi wa Waisraeli wakaenda kumlilia Farao, wakisema: “Mbona umewatendea watumishi wako hivi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaenda, wakamlilia Farao, wakisema, Mbona umetutendea hivi, sisi watumwa wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo wasimamizi wa Waisraeli walipomwendea Farao, wakamlilia wakisema, “Kwa nini unatutenda hivi sisi watumishi wako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wasimamizi wa Kiisraeli wakaenda kumlilia Farao, wakisema: “Mbona umewatendea watumishi wako hivi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wasimamizi wa Kiisraeli wakaenda kumlilia Farao, wakisema: “Mbona umewatendea watumishi wako hivi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaenda, wakamlilia Farao, wakisema, Mbona umetutenda hivi, sisi watumwa wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo wasimamizi wa Waisraeli walipomwendea Farao, wakamlilia wakisema, “Kwa nini unatutenda hivi sisi watumishi wako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, waangaliaji wa wana wa Isiraeli walipokuja, wakamlilia Farao kwamba; Mbona unawafanyizia watumwa wako hivyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaenda, wakamlilia Farao, wakisema, Mbona umetutendea hivi, sisi watumwa wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wasimamizi wa Waisraeli wakamwendea mufalme, wakamulilia wakisema: “Kwa nini unatutendea hivi sisi watumishi wako?