Exodus 5:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nendeni sasa mkafanye kazi; maana hamtapewa nyasi zozote na mtafyatua idadi ileile ya matofali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa nendeni kazini. Hamtapewa nyasi zozote, nanyi ni lazima mtengeneze matofali.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, enendeni sasa, mkafanye kazi; kwa maana hamtapewa majani, na pamoja na hayo mtaleta hesabu ile ile ya matofali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nendeni sasa mkafanye kazi; maana hamtapewa nyasi zozote na mtafyatua idadi ileile ya matofali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa nendeni kazini. Hamtapewa nyasi zo zote, nanyi ni lazima mtengeneze matofali.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa nendeni kazini. Hamtapewa nyasi zozote, nanyi ni lazima mtengeneze matofali.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, nendeni sasa, mkafanye kazi; kwa maana hamtapewa majani, na pamoja na hayo mtaleta hesabu ile ile ya matofali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nendeni sasa mkafanye kazi; maana hamtapewa nyasi zozote na mtafyatua idadi ileile ya matofali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa haya! Nendeni kuzifanya kazi zenu! Majani makavu hamtapewa, ila hesabu ya matofali iliyowekwa sharti mwitoe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, enendeni sasa, mkafanye kazi; kwa maana hamtapewa majani, na pamoja na hayo mtaleta hesabu ile ile ya matofali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muende sasa mufanye kazi; maana hamutapewa nyasi na mutafyatua hesabu ileile ya matofali.”