Exodus 5:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Farao akawauliza, “Ni nani huyo Mwenyezi-Mungu, hata nimsikilize na kuwaacha Waisraeli waondoke? Mimi simtambui huyo Mwenyezi-Mungu, wala sitawaruhusu Waisraeli waondoke.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farao akasema, “Huyo Mwenyezi Mungu ni nani, hata nimtii na kuruhusu Waisraeli waende? Simjui huyo Mwenyezi Mungu wala sitawaruhusu Waisraeli waende.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farao akasema, Bwana ni nani, hata niisikilize sauti yake, na kuwapa Israeli ruhusa waende zao? Mimi simjui Bwana, wala sitawapa Israeli ruhusa waende zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Farao akawauliza, “Ni nani huyo Mwenyezi-Mungu, hata nimsikilize na kuwaacha Waisraeli waondoke? Mimi simtambui huyo Mwenyezi-Mungu, wala sitawaruhusu Waisraeli waondoke.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farao akasema, “Huyo BWANA ni nani, hata nimtii na kuruhusu Israeli uende? Simjui huyo BWANA wala sitawaruhusu Israeli waende.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farao akasema, “Huyo bwana ni nani, hata nimtii na kuruhusu Israeli uende? Simjui huyo bwana wala sitawaruhusu Israeli waende.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farao akasema, BWANA ni nani, hata niisikilize sauti yake, na kuwapa Israeli ruhusa waende zao? Mimi simjui BWANA, wala sitawapa Israeli ruhusa waende zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Farao akawauliza, “Ni nani huyo Mwenyezi-Mungu, hata nimsikilize na kuwaacha Waisraeli waondoke? Mimi simtambui huyo Mwenyezi-Mungu, wala sitawaruhusu Waisraeli waondoke.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Farao akasema: Bwana ni nani, nimsikie sauti yake na kuwapa Waisiraeli ruhusa kwenda? Simjui Bwana, wala sitawapa Waisiraeli ruhusa kwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akasema, BWANA ni nani, hata niisikilize sauti yake, na kuwapa Israeli ruhusa waende zao? Mimi simjui BWANA, wala sitawapa Israeli ruhusa waende zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mufalme wa Misri akawauliza: “Ni nani yule Yawe, hata nimusikilize na kuwaacha Waisraeli waondoke? Mimi simujui yule Yawe, wala sitawaruhusu Waisraeli waondoke.”