Exodus 5:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipoondoka kwa Farao, walikutana na Mose na Aroni ambao walikuwa wanawangojea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipoondoka kwa Farao, wakawakuta Musa na Haruni wakingojea kukutana nao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakakutana na Musa na Haruni, waliokuwa wanasimama njiani, hapo walipotoka kwa Farao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipoondoka kwa Farao, walikutana na Mose na Aroni ambao walikuwa wanawangojea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipoondoka kwa Farao, wakawakuta Mose na Aroni wakingojea kukutana nao,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipoondoka kwa Farao, wakawakuta Musa na Haruni wakingojea kukutana nao,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakakutana na Musa na Haruni, waliokuwa wanasimama njiani, hapo walipotoka kwa Farao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipoondoka kwa Farao, walikutana na Mose na Aroni ambao walikuwa wanawangojea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipotoka kwake Farao, wakamkuta Mose na Haroni waliosimama hapo na kuwangoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakakutana na Musa na Haruni, waliokuwa wanasimama njiani, hapo walipotoka kwa Farao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipoondoka kwa mufalme, wakakutana na Musa na Haruni ambao walikuwa wanawangojea.