Exodus 5:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mose akamgeukia tena Mwenyezi-Mungu, akasema, “Ee Mwenyezi-Mungu, kwa nini unawatendea watu hawa uovu? Kwa nini hata ulinituma?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akarudi kwa Mwenyezi Mungu na kumwambia, “Ee Bwana, mbona umewaletea watu hawa taabu? Kwa nini basi ukanituma mimi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akarudi kwa Bwana, akasema, Bwana, mbona umewatenda mabaya watu hawa? Kwani kunituma mimi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mose akamgeukia tena Mwenyezi-Mungu, akasema, “Ee Mwenyezi-Mungu, kwa nini unawatendea watu hawa uovu? Kwa nini hata ulinituma?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akarudi kwa BWANA na kumwambia, “Ee Bwana, mbona umewaletea watu hawa taabu? Kwa nini basi ukanituma mimi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akarudi kwa bwana na kumwambia, “Ee Bwana, mbona umewaletea watu hawa taabu? Kwa nini basi ukanituma mimi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akarudi kwa BWANA, akasema, BWANA, mbona umewatenda mabaya watu hawa? Kwani kunituma mimi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mose akamgeukia tena Mwenyezi-Mungu, akasema, “Ee Mwenyezi-Mungu, kwa nini unawatendea watu hawa uovu? Kwa nini hata ulinituma?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mose akamrudia Bwana na kusema: Bwana, kwa nini unawafanyia watu hawa mabaya kama hayo? Ndiyo haya, uliyonituma?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akarudi kwa BWANA, akasema, BWANA, mbona umewatenda mabaya watu hawa? Kwani kunituma mimi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Musa akamugeukia tena Yawe, akasema: “Ee Yawe, kwa nini unawatendea watu hawa uovu? Kwa nini hata ulinituma?