Exodus 5:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tangu nilipokwenda na kuongea na Farao kwa jina lako, yeye amewatendea uovu watu hawa. Wewe hujafanya lolote kuwakomboa watu wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tangu nilipokwenda kuzungumza na Farao kwa jina lako, amewaletea watu hawa taabu, nawe kamwe hujawakomboa watu wako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana tangu nilipokwenda kwa Farao, kusema naye kwa jina lako, amewatenda mabaya watu hawa; wala hukuwaokoa watu wako hata kidogo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tangu nilipokwenda na kuongea na Farao kwa jina lako, yeye amewatendea uovu watu hawa. Wewe hujafanya lolote kuwakomboa watu wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tangu nilipomwendea Farao kuzungumza naye kwa jina lako, amewapatisha taabu watu hawa, nawe kamwe hujawakomboa watu wako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tangu nilipomwendea Farao kuzungumza naye kwa jina lako, amewaletea taabu watu hawa, nawe kamwe hujawakomboa watu wako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana tangu nilipokwenda kwa Farao, kusema naye kwa jina lako, amewatenda mabaya watu hawa; wala hukuwaokoa watu wako hata kidogo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tangu nilipokwenda na kuongea na Farao kwa jina lako, yeye amewatendea uovu watu hawa. Wewe hujafanya lolote kuwakomboa watu wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani tangu hapo, nilipoingia kwake Farao kusema naye katika Jina lako, amezidi kuwafanyizia watu hawa mabaya, wewe nawe hukuwaponya kabisa wao walio ukoo wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana tangu nilipokwenda kwa Farao, kusema naye kwa jina lako, amewatenda mabaya watu hawa; wala hukuwaokoa watu wako hata kidogo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tangu nilipokwenda na kuongea na mufalme wa Misri kwa jina lako, yeye amewatendea watu hawa uovu. Wewe haujafanya lolote kwa kuwakomboa watu wako.”