Exodus 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mfalme wa Misri akawajibu, “Enyi Mose na Aroni, kwa nini mnajaribu kuwatoa watu kazini mwao? Rudini kazini mwenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mfalme wa Misri akasema, “Mbona ninyi Musa na Haruni mnawaondoa watu kutoka kwenye kazi zao? Rudini kwenye kazi zenu!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme wa Misri akawaambia Enyi Musa na Haruni, mbona mnawaachisha watu kazi zao? Enendeni zenu kwa mizigo yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mfalme wa Misri akawajibu, “Enyi Mose na Aroni, kwa nini mnajaribu kuwatoa watu kazini mwao? Rudini kazini mwenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mfalme wa Misri akasema, “Mbona ninyi Mose na Aroni mnawachukua watu waache kazi zao? Rudini kwenye kazi zenu!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mfalme wa Misri akasema, “Mbona ninyi Musa na Haruni mnawachukua watu waache kazi zao? Rudini kwenye kazi zenu!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme wa Misri akawaambia Enyi Musa na Haruni, mbona mnawaachisha watu kazi zao? Nendeni zenu kwa mizigo yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mfalme wa Misri akawajibu, “Enyi Mose na Aroni, kwa nini mnajaribu kuwatoa watu kazini mwao? Rudini kazini mwenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mfalme wa Misri akawaambia: Mbona ninyi Mose na Haroni mnataka kuwatoa tu watu hawa katika kazi zao? Nendeni kuzifanya hizo kazi zenu ngumu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme wa Misri akawaambia Enyi Musa na Haruni, mbona mnawaachisha watu kazi zao? Enendeni zenu kwa mizigo yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mufalme wa Misri akawajibu: “Enyi Musa na Haruni, kwa nini munajaribu kuwatoa watu kwa kazi yao? Murudie kwa kazi yenu.”