Exodus 5:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyohiyo Farao aliwaamuru wanyapara pamoja na wasimamizi, akasema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo hiyo, Farao akatoa amri hii kwa viongozi wa watumwa na wasimamizi wa watu, akawaambia:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na siku ile ile Farao akawaamuru wasimamizi wa watu, na wanyapara wao, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyohiyo Farao aliwaamuru wanyapara pamoja na wasimamizi, akasema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku iyo hiyo Farao akatoa amri hii kwa viongozi wa watumwa na wasimamizi wa watu akawaambia:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku iyo hiyo Farao akatoa amri hii kwa viongozi wa watumwa na wasimamizi wa watu akawaambia:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na siku ile ile Farao akawaamuru wasimamizi wa watu, na wanyapara wao, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyohiyo Farao aliwaamuru wanyapara pamoja na wasimamizi, akasema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ile Farao akawaagiza wale wasimamizi wakali wa hao watu nao waangaliaji wao kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na siku ile ile Farao akawaamuru wasimamizi wa watu, na wanyapara wao, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyohiyo mufalme wa Misri aliwaamuru wakubwa pamoja na wasimamizi, akasema: