Exodus 6:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndiyo orodha ya wakuu wa jamaa za Waisraeli, Wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli: Henoki, Palu, Hesroni na Karmi. Hao walikuwa mababu wa jamaa za Reubeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa wakuu wa jamaa zao: Wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli walikuwa: Hanoki na Palu, Hesroni na Karmi. Hizo zilikuwa koo za Reubeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawa ndio vichwa vya nyumba za baba zao: wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli; ni Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi; hao ni jamaa za Reubeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndiyo orodha ya wakuu wa jamaa za Waisraeli, Wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli: Henoki, Palu, Hesroni na Karmi. Hao walikuwa mababu wa jamaa za Reubeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa walikuwa wakuu wa jamaa zao: Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli walikuwa Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. Hawa walikuwa ndio koo za Reubeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa walikuwa wakuu wa jamaa zao: Wana wa Reubeni mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Israeli walikuwa: Hanoki, Palu, Hesroni na Karmi. Hawa walikuwa ndio koo za Reubeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndio vichwa vya nyumba za baba zao: wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli; ni Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi; hao ni jamaa za Reubeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndiyo orodha ya wakuu wa jamaa za Waisraeli, Wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli: Henoki, Palu, Hesroni na Karmi. Hao walikuwa mababu wa jamaa za Reubeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndio vichwa vya milango ya baba zao: Wana wa Rubeni aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Isiraeli ndio hawa: Henoki na Palu, Hesironi na Karmi. Hizi ndizo ndugu zao wa Rubeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawa ndio vichwa vya nyumba za baba zao: wana wa Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Israeli; ni Hanoki, na Palu, na Hesroni, na Karmi; hao ni jamaa za Reubeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haya ndiyo majina ya wakubwa wa jamaa za Waisraeli. Wana wa Rubeni, muzaliwa wa kwanza wa Israeli: Hanoki, Palu, Hesironi na Karmi. Hao walikuwa babu za jamaa za Rubeni.