Exodus 6:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa yafuata majina ya wana wa Lawi na wazawa wao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi, kulingana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka mia moja na thelathini na saba (137).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na haya ndiyo majina ya wana wa Lawi, sawasawa na vizazi vyao; Gershoni, na Kohathi, na Merari; na miaka ya maisha yake Lawi ilikuwa ni miaka mia na thelathini na saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa yafuata majina ya wana wa Lawi na wazawa wao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Haya yalikuwa ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na haya ndiyo majina ya wana wa Lawi, kulingana na vizazi vyao; Gershoni, na Kohathi, na Merari; na miaka ya maisha yake Lawi ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa yafuata majina ya wana wa Lawi na wazawa wao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo haya ndiyo majina ya wana wa Lawi, kama walivyofuatana kuzaliwa: Gersoni na Kehati na Merari, nayo miaka ya kuwapo kwake Lawi ilikuwa miaka 137.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na haya ndiyo majina ya wana wa Lawi, sawasawa na vizazi vyao; Gershoni, na Kohathi, na Merari; na miaka ya maisha yake Lawi ilikuwa ni miaka mia na thelathini na saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa haya ni majina ya wana wa Lawi na wazao wao: Gersoni, Kohati na Merari. Lawi aliishi miaka mia moja makumi tatu na saba.