Exodus 6:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Gershoni walikuwa: Libni na Shimei; jamaa zao zilitajwa kwa majina yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Gershoni kwa koo walikuwa: Libni na Shimei.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Gershoni; ni Libni, na Shimei, sawasawa na jamaa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Gershoni walikuwa: Libni na Shimei; jamaa zao zilitajwa kwa majina yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa Libni na Shimei.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Gershoni kwa koo, walikuwa: Libni na Shimei.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Gershoni; ni Libni, na Shimei, kulingana na jamaa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Gershoni walikuwa: Libni na Shimei; jamaa zao zilitajwa kwa majina yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Gersoni ni Libuni na simei kwa udugu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Gershoni; ni Libni, na Shimei, sawasawa na jamaa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Gersoni walikuwa: Libuni na Simei. Hao walikuwa babu za jamaa zao.