Exodus 6:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka mia moja na thelathini na tatu (133).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Kohathi; ni Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli; na miaka ya maisha ya huyo Kohathi ilikuwa ni miaka mia na thelathini na mitatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Kohathi walikuwa Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Kohathi; ni Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli; na miaka ya maisha ya huyo Kohathi ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na mitatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. Kohathi aliishi miaka 133.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Kehati ni Amuramu na Isihari na Heburoni na Uzieli; nayo miaka ya kuwapo kwake Kehati ilikuwa miaka 133.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Kohathi; ni Amramu, na Ishari, na Hebroni, na Uzieli; na miaka ya maisha ya huyo Kohathi ilikuwa ni miaka mia na thelathini na mitatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Kohati walikuwa: Amuramu, Izihari, Hebroni na Uzieli. Kohati aliishi miaka mia moja makuni tatu na mitatu.