Exodus 6:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hao ndio mababu wa jamaa za Walawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hizo zilikuwa koo za Lawi, kulingana na orodha zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi sawasawa na vizazi vyao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hao ndio mababu wa jamaa za Walawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi kulingana na vizazi vyao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Merari walikuwa: Mahli na Mushi. Hao ndio mababu wa jamaa za Walawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Merari ni Mahali na Musi; hizi ndio ndugu zao Walawi kwa hiyo, walivyofuatana kuzaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Merari; ni Mali, na Mushi. Hizi ni jamaa za hao Walawi sawasawa na vizazi vyao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Merari walikuwa: Mali na Musi. Hao ndio babu za jamaa za Walawi.