Exodus 6:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu akamwambia Mose, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia Mungu akamwambia Musa, “Mimi ndimi Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu akamwambia Mose, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia Mungu akamwambia Mose, “Mimi ndimi BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia Mungu akamwambia Musa, “Mimi ndimi bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu akamwambia Mose, “Mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Bwana akasema na Mose, akamwambia: Mimi ni Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu akamwambia Musa: “Mimi ni Yawe.