Exodus 6:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amramu alimwoa Yokebedi, shangazi yake, naye akamzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, aliyemzalia Haruni na Musa. Amramu aliishi miaka mia moja na thelathini na saba (137).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Amramu akamwoa Yokebedi ndugu ya baba yake; naye akamzalia Haruni, na Musa; na miaka ya maisha yake Amramu ilikuwa ni miaka mia na thelathini na saba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amramu alimwoa Yokebedi, shangazi yake, naye akamzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amramu akamwoa Yokobedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Haruni na Musa. Amramu aliishi miaka 137.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Amramu akamwoa Yokebedi shangazi yake; naye akamzalia Haruni, na Musa; na miaka ya maisha yake Amramu ilikuwa ni miaka mia moja na thelathini na saba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amramu alimwoa Yokebedi, shangazi yake, naye akamzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Amuramu akaamchukua Yokebedi aliyekuwa shangazi yake kuwa mkewe, naye akamzalia Haroni na Mose; nayo miaka ya kuwapo kwake Amuramu ilikuwa miaka 137.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Amramu akamwoa Yokebedi ndugu ya baba yake; naye akamzalia Haruni, na Musa; na miaka ya maisha yake Amramu ilikuwa ni miaka mia na thelathini na saba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amuramu alimwoa Yokebedi, shangazi yake, naye akamuzalia Haruni na Musa. Amuramu aliishi miaka mia moja makumi tatu na saba.