Exodus 6:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao watoto wa kiume wa Kora walikuwa: Asiri, Elkana na Abiasafu, ambao walikuwa mababu wa jamaa za Kora.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Kora walikuwa: Asiri, Elkana na Abiasafu. Hizo zilikuwa koo za Kora.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Kora; ni Asiri, na Elkana, na Abiasafu; hizo ni jamaa za hao Wakora.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao watoto wa kiume wa Kora walikuwa: Asiri, Elkana na Abiasafu, ambao walikuwa mababu wa jamaa za Kora.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Kora walikuwa Asiri, Elikana na Abiasafu. Hawa walikuwa ndio koo za Kora.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Kora walikuwa: Asiri, Elikana na Abiasafu. Hawa walikuwa ndio koo za Kora.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Kora; ni Asiri, na Elkana, na Abiasafu; hizo ni jamaa za hao Wakora.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao watoto wa kiume wa Kora walikuwa: Asiri, Elkana na Abiasafu, ambao walikuwa mababu wa jamaa za Kora.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Kora ni Asiri na Elkana na Abiasafu. Hizi ndizo ndugu zao Wakora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Kora; ni Asiri, na Elkana, na Abiasafu; hizo ni jamaa za hao Wakora.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wana wa Kora walikuwa: Asiri, Elkana na Abiasafu, ambao walikuwa babu za jamaa za Kora.