Exodus 6:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aroni na Mose ndio walioambiwa na Mwenyezi-Mungu, “Watoeni watu wa Israeli kutoka nchi ya Misri, vikundi kwa vikundi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa Haruni na Musa, wale wale ambao Mwenyezi Mungu aliwaambia, “Watoeni Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawa ni Haruni ye yule, na Musa ye yule, Bwana aliowaambia, akisema, Watoeni wana wa Israeli watoke nchi ya Misri sawasawa na majeshi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aroni na Mose ndio walioambiwa na Mwenyezi-Mungu, “Watoeni watu wa Israeli kutoka nchi ya Misri, vikundi kwa vikundi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa walikuwa Aroni na Mose wale wale ambao BWANA aliwaambia, “Watoeni Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa walikuwa Haruni na Musa wale wale ambao bwana aliwaambia, “Watoeni Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ni Haruni na Musa wale BWANA aliowaambia, akisema, Watoeni wana wa Israeli watoke nchi ya Misri sawasawa na majeshi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aroni na Mose ndio walioambiwa na Mwenyezi-Mungu, “Watoeni watu wa Israeli kutoka nchi ya Misri, vikundi kwa vikundi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule Haroni naye yule Mose ndio, Bwana aliowaambia: Watoeni wana wa Isiraeli katika nchi hii ya Misri kikosi kwa kikosi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawa ni Haruni ye yule, na Musa ye yule, BWANA aliowaambia, akisema, Watoeni wana wa Israeli watoke nchi ya Misri sawasawa na majeshi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haruni na Musa ndio walioambiwa na Yawe: “Mutoe watu wa Israeli kutoka inchi ya Misri, vikundi kwa vikundi.”