Exodus 6:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
alimwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Mwambie Farao, mfalme wa Misri, maneno yote ninayokuambia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akamwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi Mungu. Mwambie Farao mfalme wa Misri kila kitu nikuambiacho.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia Musa, akasema, Mimi ni Bwana; mwambie Farao mfalme wa Misri maneno yote nikuambiayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
alimwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Mwambie Farao, mfalme wa Misri, maneno yote ninayokuambia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akamwambia, “Mimi ndimi BWANA. Mwambie Farao mfalme wa Misri kila kitu nikuambiacho.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akamwambia, “Mimi ndimi bwana. Mwambie Farao mfalme wa Misri kila kitu nikuambiacho.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akamwambia Musa, akasema, Mimi ni BWANA; mwambie Farao mfalme wa Misri maneno yote nikuambiayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
alimwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Mwambie Farao, mfalme wa Misri, maneno yote ninayokuambia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, Bwana alipomwambia Mose kwamba: Mimi ni Bwana; mwambie Farao, mfalme wa Misri, yote, mimi nitakayokuambia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akamwambia Musa, akasema, Mimi ni BWANA; mwambie Farao mfalme wa Misri maneno yote nikuambiayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
alimwambia: “Mimi ni Yawe. Umwambie mufalme wa Misri maneno yote ninayokuambia.”